Mkoa wa Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
Baada ya kujengwa kwa daraja mtoni Rufiji mwaka 2002 kuna matumaini mpya ya kuwa na barabara inayotumika kati ya Mtwara na [[Daressalaam]]. Eneo la Mnazi Bay ina gesi inayoweza kutumika kwa mahitaji ya nishati ya eneo lote.
Tegemeo kubwa la uchumi kwa mkoa wa mtwara ni kilimo hasa ikitegemea zao la korosho kwa wakulima wa wilaya zote za mkoa wa mtwara,kwa miaka ya karibuni wilaya ya TANDAHIMBA na masasi ndio wamekuwa wazalishaji wa kiwango cha juu wa korosho.Pia mfumo wa stakabadhi ghalani umesaidia kwa kiasi fulani kwa miaka ya awali ya uanzishwaji mfumo huo(msimu wa 2008/2009)kwa miaka iliyofuata vyama vya msingi vimeonekana kuelemewa na mfumo huo na kusabaisha sinto fahamu inayoweza kurekebishwa kwa kuwahusisha wadau wote wa zao la korosho.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Mtwara Mjini: [[Abdallah Nachuma]] ([[CUF]])
* Nanyamba - [[Abdalah Chikota]] ([[CCM]]) amepita bila kupingwa
* Mtwara Vijijini: [[Hawa Ghasia]] (CCM)
* Tandahimba - [[Ahmad Katani]] (CUF) atangazwa mshindi
* Newala Mjini: Kepteni [[George Mkuchika]] wa (CCM)
* Newala Vijijini: [[Rashid Ajali Akbar]] (CCM)
* Nanyumbu: Ndugu [[William Dua Mkurua]] (CCM)
* Ndanda - [[Cecil Mwambe]]([[CHADEMA]])
* Masasi
* Lulindi:
* Kilosa: [[Baraka Bawazir]] (CCM)
 
 
==Viungo vya nje==