Mkoa wa Pwani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Aliulinda "Mkoa wa Pwani" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 15:
Idadi ya wakazi wa mkoa wa Pwani ni 889,154. (sensa 2002 [http://web.archive.org/web/20031215152753/http://www.tanzania.go.tz/census/census/pwani.htm])
Mkoa huu ambao wenyeji wake ni watu wa makabila ya Wakwere,wazaramo,wandengereko na wanyagatwa.wilaya ya rufiji imegawanyika sehemu mbili,visiwani na bara.wenyeji wa visiwani ni wa kabila la wanyagatwa na walio bara ndiyo wandengereko, wenyeji wa visiwani wanajishulisha sana na uvuvi,kilimo cha mnazi na kupika chumvi,wandengereko wanajishughulisha sana na mazao ya vyakula kama vile mpunga,mahindi n.k. lakini pia mkoa huu ni maarufu sana kwa shughuli za kiutalii hususani katika mji wa Bagamoyo.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Chalinze - [[Ridhwan Kikwete]] ([[CCM]])
* Bagamoyo - [[Shukuru Kawambwa]] (CCM)
* Kibaha Mjini - [[Sylvester Francis Koka]] (CCM
* Kibaha Vijijini - [[Hamoud Jumaa]] (CCM)
* Kisarawe - [[Suleiman Jafo]] (CCM)
* Mafia - [[Kitwana Dau]] (CCM)
* Mkuranga - [[Abdalah Ulega]] (CCM)
* Rufiji - [[Mohamed Mchengerwa]] (CCM)
* Kibiti - [[Ally Seif Ungando]] (CCM)
 
 
==Viungo vya nje==