Mkoa wa Rukwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 58:
 
Kabila kuwba zaidi mkoani ndio [[Wafipa]] walioko hasa katika wilaya za Sumbawanga na Nkansi. Kati ya makabila mengine kuna [[Wamambwe]]-Lungu, [[Wawanda]] na [[Wanyamwanga]] katika wilaya ya Sumbawanga; kuna pia [[Wasukuma]], [[Wanyamwezi]] na [[Wamassai]].
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
*Sumbawanga Mjini - [[Aeshi Hilaly]] ([[CCM]])
*Nkansi Kaskazini - [[Ally Mohamedi Kessy]] (CCM)
* Nkansi Kusini - [[Desderius Mipata]] (CCM)
* Kwela -
* Kalambo - [[Josephat Kandege]] (CCM)
 
 
== Viungo vya nje ==