Mkoa wa Singida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana ina shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.IKiwa kuanzia miaka ya tisini (1990) na kuendelea mpaka sasa imekuwa madini ya [[dhahabu]] yakigunduliwa katika sehemu mbalimbali mkoani Singida japo kumekuwa aidha hakufanyiwi uchungizi wa kina kuhakiki kiwango cha hifadhi ya madini iliyopo katika eneo husika au huwa kiwako kilichopo ni kidogo hivyo kutokuvutia wawekezaji wakubwa katika maeneo hayo, kati ya madini ambayo yamewahi kugunduliwa katika mkoa wa Singida ni dhahabu ambayo imewahi kugunduliwa huko Londoni na Iruma wilayani Manyoni.
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
 
* Iramba Magharibi: [[Mwigulu Lamech Nchemba]]([[CCM]])
* Iramba Mashariki: [[Joseph Allan Kiula]](CCM)
* Manyoni Magharibi: [[Yahya Omari Masare]] (CCM)
* Manyoni Mashariki: [[Daniel Edward Mtuka]](CCM)
* Singida Kaskazini: [[Lazaro Nyalandu]] (CCM)
* Singida Magharibi: [[Elibariki Emmanuel Kingu]](CCM)
* Singida Mashariki: [[Tundu Lissu]] ([[CHADEMA]])
* Singida Mjini - [[Kingu Emmanuel]] (CCM)
 
{{Mikoa ya Tanzania}}