Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 54:
Makao makuu ya mkoa ndipo Songea. Jumla ya wakazi wote katika Mkoa wa Ruvuma ni 1,376,891 (sensa 2012).
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
* Madaba - [[Joseph Kisito Mhagama]] ([[CCM]])
* Mbinga Mjini - Ndg. [[Sixtus Mapunda]] (CCM)
* Mbinga Vijijini - [[Martin Msuha]] (CCM)
* Namtumbo -
* Nyasa: Eng. [[Stella Martin Manyanya]]
* Peramiho - Ndg [[Jenista Mhagama]] (CCM)
* Songea Mjini - [[Leonidas Tutubert Gama]] (CCM)
* Tunduru Kaskazini - [[Ramo Matala Makani]] (CCM)
* Tunduru Kusini - [[Daimu Iddi Mpakate]] (CCM)
 
 
=== Wakazi ===
Makabila makubwa katika Ruvuma ni [[Wayao]], [[Wangoni]], [[Wamatengo]], [[Wandendeule]], [[Wabena]] na [[Wandengereko]].