Ukosoaji wa dini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q838083 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 15:
* [[Uyahudi]] na [[Uislamu]] ni dini ambazo zina wafuasi wasioweza kuamini tena mafundisho ya imani lakini wanajitazama bado kama Waislamu au Wayahudi kwa kuona jumuiya hizo ni za kijamii hata bila ya imani yenyewe. Huwa wanaangaliwa kama wazushi au wasaliti lakini wapo.
* Ukosoaji mkali katika [[Ulaya]] ulianzishwa mara nyingi na watu wenye elimu ya [[Ukristo]] kama vile [[Ludwig Feuerbach]], [[Karl Marx]] na [[Nietzsche]].
 
<gallery>
Image:20051129 northlake-il5.jpg
Image:Woman walking in Afghanistan.jpg
Image:WJT2005-RZ-Dino-vor-Plakat.jpg
</gallery>
 
 
{{mbegu-dini}}