Uislamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 73:
Kundi dogo zaidi ni Washia ambao wamegawanyika kati yao katika vikundi vingi. Washia walijitenga na Wasunni baada ya makhalifa wanne wa kwanza kuhusu swali ni nani anayefaa kuongoza Waislamu. Washia ni wale waliosisitiza sharti awe mtu kutoka ukoo wa Muhammad kupitia binti yake [[Fatima]]. Vikundi vya Washia vinatofautiana juu ya viongozi hawa. Jumuiya kubwa ya Washia ni [[Ithnashara]] walio wengi huko [[Uajemi]], [[Irak]] na [[Lebanoni]].
 
== ExternalViungo Linksvya nje ==
* [http://www.alhidaaya.com/sw/ Alhidaaya] - Uislamu Kurasa za pekee
* Q[http://www.quranitukufu.net/ uraniQurani tukufu]
* http://www.islamhouse.com
* [http://www.islam4real.blogspot.com Islam Blog]
 
 
[[Jamii:Uislamu]]