Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[File:Stara planina suma.jpg|thumb|Msitu wa [[Stara Planina]], [[Serbia]].]]
'''Msitu''' ni mkusanyiko wa [[uoto asilia]] unaojumuisha [[miti]] ya aina mbalimbali, [[mimea]] na [[nyasi]] ambazo huweza kuwa fupi au ndefu.
 
Misitu inaweza kuwa ya asili au ya kupandwa na binadamu.
 
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali, wakubwa kwa wadogo, huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
Line 15 ⟶ 17:
*kupunguza [[kilimo cha kuhamahama]]
*kuzuia [[uwindaji]] wa [[wanyama]] kwa kuchoma misitu
*kuzuia ongezeko la watu katika eneo dogo
*kuelimisha jamii juu ya utunzaji misitu
 
Faida za misitu ni:
*Husaidia katika mfumo wa mvua
*Hutumika kama makazi ya wanyama
*Ni chanzo cha mapato ya nchi
*Hutupatia [[dawa]] na [[chakula]]
 
[[Hasara]] za ukataji mitiː
*unasababisha [[mmomonyoko]] wa [[udongo]]
*unasababisha [[ukame]]
*unakaribisha [[jangwa]]
*unasababisha [[mvua za misimu]]
*uharibifu wa [[mazingira]]
*ongezeko la [[hali joto]]
 
Hivyo ni bora kutunza misitu kwa ajili ya manufaa yetu sisi na vizazi vijavyo.
 
{{mbegu-biolojia}}