Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

898 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
'''Uislamu''' (kwa [[Kiarabu]]: الإسلام ''al-islam'') ni [[dini]] inayotokana na mafunzo ya [[Mtume]] [[Muhammad|Muhammad (saw)]]. Wafuasi wa imani hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya [[Ukristo]] mwenye wafuasi milioni 2,200.
 
Uislamu ni ile imani kuwa muumba ni mmoja tu kwa dhati na sifa zake. Nguzo nyingine za imani zinajengwa juu ya imani ya Mungu mmoja wa kweli. Imani juu ya maisha baada ya kifo, imani juu ya Malaika wa Mungu, vitabu vyake na kudra na tafsiri ya vitendo ya imani hii ni Swalah, [[Zakat|Zakah]], Funga na Hija.
 
== Imani na kitabu chake ==
 
Imani yakatika WaislamuUislamu ni kumwamini [[MunguMwenyeziMungu]] mmoja tu peke yake anayeitwa [[Allah|Allah (swt)]]. WanaAmbaye kitabuhajaa zaa wala hajazaliwa na hafanani na yeyote yule. Kitabu kitakatifu cha Waislam ni [[KuraniQur'an]] ambayo wanaaminindio ilifunuliwa kwa Mtume Muhammad (saw) kutoka kwa MwenyeziMungu mbinguni kupitia [[malaika]] [[Jibrili]]; ni kawaida kusema KuraniQurani "iliteremshwa" kwa Muhammad (saw).
 
Pamoja na KuraniQurani kuna mafundisho ya [[Sunna]] na [[Hadith]] ambayo ni maneno ya mtume Muhammad (saw) na masimulizi juu ya matendo yake ambayo pengine hutazamiwa kama mwongozo katika Uislamu.
 
Allah kama(swt) Mungundio MwenyeziMungu pekee nina muumba wa kila kitu. KuraniQurani inasisitiza kwamba hana mshirika, hana baba wala mwana, hakuzaa wala hakuzaliwa, na hana mwanzo wala mwisho.
 
Pamoja na amri mbalimbali kuna mfumo wa sheria za kidini zinazoitwa kwa jumla "[[sharia]]"; inajumlisha maagizo kuhusu mambo mengi ya maisha ya kila siku, [[uchumi]] na [[siasa]].
== Historia ya chanzo cha Uislamu ==
{{Islam}}
[[Muhammad|Muhammad (saw)]] alizaliwa mnamo mwaka [[570]] [[BK]] kama mtoto wa mfanyabiashara mjini [[Maka]] uliopo kwenye [[Bara Arabu]].
 
Kufuatana na mapokeo ya Kiislamu malaika Jibril alimtokea alipokuwa na umri wa miaka 40 yaani mnamo mwaka [[610]]. Kutoka kwa malaika alipokea maneno ya Kurani na [[ufunuo]] huu uliendelea hadi mwisho wa maisha yake.
 
Mtume (saw) alitangaza yale aliyosikia kwa wafuasi wake na maneno ya Kurani yalianza kukusanywa tayari wakati wa maisha ya mtume. Baada ya kifo chake mwaka 632 [[khalifa]] wa tatu [[Uthman ibn Affan]] alikusanya ayaayah zote na kuziweka katikapamoja umbona kuwa kitabu kamili na Waislamu wanafundisha ya kwamba umbokitabu hiliiko halikubadilikahakijabadilika tena na ni sawasawasawa na yale aliyotangazwa mtume.
 
Ujumbe uliohubiriwa na Muhammad (saw) huko Maka ulipata wasikilizaji wachache, lakini viongozi wengi wa [[Quraishi|Kikuraishi]], waliokuwa kabila muhimu yakubwa Maka, waliwaona kama hatari kwa Maka na mwaka [[622]] Waislamu walipaswa kutoka Maka wakahamia [[Yathrib]] mji wa jirani (Madina).
 
Uhamisho huu unaitwa [[hijra]] na tangu khalifa wa pili [[Umar ibn al-Khattab]] ni chanzo cha [[kalenda ya Kiislamu]].
Mjini Yathrib mtume aliendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na wa kijeshi. Alifanya mapatano na watu wa Yathrib iliyoitwa baadaye "madinat an-nabi"" ikajulikana kwa kifupi kama [[Madina]].
 
Kutoka Madina mtume alianza kushambulia misafara ya watu wa Maka akawashinda mara kadhaa. Wakati huohuo aliwafukuza [[Wayahudi]] wa Yathrib. Hasa kwa vile Waislam walipohama Makkah kwenda Madiynah, Makafiri waliwalazimisha kuziacha mali zao zote huko, na kuondoka bila chochote isipokuwa nguo zao na mnyama wa kumpanda. Wengine walinyang’anywa hata wanyama wao, na ikawabidi kutembea kwa miguu mpaka Madiynah na wengine waliviziwa njiani na kuuliwa.
 
Mwaka 628 viongozi wa Maka walilazimishwa kufanya mapatano na Waislamu na mwaka 630 jeshi la Waislamu iliingia mjini Maka.
# ''[[Shahada]]'': Nguzo ya kwanza katika Uislamu hujumuisha kutoa kauli mbili: ''Hakuna Mola apasaye Kuabudiwa ila Allah na Muhammad ni Mtume wake''. Kauli hizo hutolewa pale mwanadamu anapoingia Uislamu.
# '' [[Salat]]'': (kwa [[Kiarabu]]: صلاة‎) ni [[sala]] inayofuata utaratibu maalumu mara tano kila siku: Asubuhi, mchana, alasiri, jioni na usiku. Kabla ya kuingia katika ibada hii Mwislamu anapaswa kufanya [[wudhu]] ambayo ni tendo la kutakasa mwili kwa maji au -kama hakuna- kwa kutumia vumbi badala yake. Salat ina maneno yake na pia namna ya kusimama au kujinama. Salat hii ni tofauti na [[dua]] (دعاء) au sala ya kuomba kwa hiari.
# ''[[Zakat]]'': Nguzo ya tatu ya Uislamu nayo ni ibada inayomuelekeza Mwislamu kuwaangalia Waislamu wenzake kwa hali na mali, na kushughulikia mahitaji yao ya maisha, kwa kutoa fungu la mali yake asilimia 2.5 kila mwaka kwa mwenye uwezo na kuwapa wale walio maskini na wasiojiweza ili nao waweze kuishi vizuri.
# Funga/[[Swaum]]: Wakati wa mwezi [[Ramadani]] kila Mwislamu anapaswa kufunga chakula na kinywaji chote kuanzia asubuhi hadi jioni. Watoto na wagonjwa hawapaswi kutekeleza wajibu huu. Waislamu wanaona maana ya ibada hii kumkurubisha Mwislamu na Mola wake na kumfanya amche na kumuogopa zaidi, kwani saumu humsaidia Mwislamu kufahamu shida na taabu ambazo wale wasiokuwa na uwezo wanazipata wakiwa na njaa na hawana cha kukila, na kwa hivyo, huingiwa na huruma na kuwa na moyo wa kutaka kuwasaidia na kuwaondoshea shida hizo.
# [[Hija]] (Kar. الحجّ ''alhajj''): Kila Mwislamu mwenye uwezo anatakiwa kufikakwenda hijja [[Maka]] mara moja katika maisha yake wakati wa mwezi Dhul-Hija. Nguzo hii inawapa fursa Waislamu ulimwenguni kukutana na wenzao na kujua hali zao na kupata nafasi ya kuomba maghfira na msamaha kwa madhambi yao katika mkutano mkubwa kabisa wa wanadamu ulimwenguni.
 
== Maingiliano katika Uislamu ==
 
== Vikundi na madhehebu ==
Kuna mielekeo mikubwa miwili ndani ya Uislamu ambayo ni vikundi vya [[Wasunni]] 85-90% na [[Washia]] 10-15%.
 
Kundi kubwa ni Wasunni waliopata jina kutokana na Sunna ("kawaida") ya mtume; takriban asilimia 85-90 ya Waislamu wote huhesabiwa humo. Kati yao kuna madhehebu 4 ambao ni Hanafi, Maliki, Hanbali na Shafii. Tofauti katika mafundisho si kubwa, zinahusu hasa [[sharia]] na [[fikh]].
Anonymous user