Tofauti kati ya marekesbisho "Uislamu"

49 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
'''Uislamu''' (kwa [[Kiarabu]]: الإسلام ''al-islam'') ni [[dini]] inayotokana na mafunzo ya [[Mtume]] [[Muhammad|Muhammad (saw)]]. Wafuasi wa imani hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya [[Ukristo]] mwenye wafuasi milioni 2,200.
 
Wafuasi wa imani hiyo huitwa "Waislamu" na wanakadiriwa kuwa milioni 1,400 hivi. Hivyo ni dini ya pili duniani yenye wafuasi wengi baada ya [[Ukristo]] mwenye wafuasi milioni 2,200.
Uislamu ni ile imani kuwa muumba ni mmoja tu kwa dhati na sifa zake. Nguzo nyingine za imani zinajengwa juu ya imani ya Mungu mmoja wa kweli. Imani juu ya maisha baada ya kifo, imani juu ya Malaika wa Mungu, vitabu vyake na kudra na tafsiri ya vitendo ya imani hii ni Swalah, [[Zakat|Zakah]], Funga na Hija.
 
Uislamu ni ile imani kuwa muumba ni mmoja tu kwa dhati na sifa zake. Nguzo nyingine za imani zinajengwa juu ya imani ya Mungu mmoja wa kweli. Imani juu ya maisha baada ya kifo, imani juu ya Malaika wa Mungu, vitabu vyake na kudra na tafsiri ya vitendo ya imani hii ni [[Sala|Swalah]], [[Zakat|Zakah]], [[Saumu|Funga]] na [[Hija]].
== Imani na kitabu chake ==
 
== Imani na kitabu chake ==
Imani katika Uislamu ni kumwamini [[MwenyeziMungu]] mmoja tu peke yake anayeitwa [[Allah|Allah (swt)]]. Ambaye, hajaaambaye zaahajazaa wala hajazaliwa na hafanani na yeyote yule. Kitabu kitakatifu cha Waislam ni [[Qur'an]] ambayo ndio ilifunuliwa kwa Mtume Muhammad (saw) kutoka kwa MwenyeziMunguMwenyezi Mungu mbinguni kupitia [[malaika]] [[Jibrili]]; ni kawaida kusema Qurani "iliteremshwa" kwa Muhammad (saw).
 
Pamoja na Qurani kuna mafundisho ya [[Sunna]] na [[Hadith]] ambayo ni maneno ya mtume Muhammad (saw) na masimulizi juu ya matendo yake ambayo pengine hutazamiwa kama mwongozo katika Uislamu.
 
Allah (swt) ndiondiye MwenyeziMungu pekee na muumba wa kila kitu. Qurani inasisitiza kwamba hana mshirika, hana baba wala mwana, hakuzaa wala hakuzaliwa, na hana mwanzo wala mwisho.
 
Pamoja na amri mbalimbali kuna mfumo wa sheria za kidini zinazoitwa kwa jumla "[[sharia]]"; inajumlisha maagizo kuhusu mambo mengi ya maisha ya kila siku, [[uchumi]] na [[siasa]].
== Historia ya chanzo cha Uislamu ==
{{Islam}}
[[Muhammad|Muhammad (saw)]] alizaliwa mnamo mwaka [[570]] [[BK]] kama mtoto wa mfanyabiashara mjini [[Maka]] uliopo kwenye [[Bara Arabu]].
 
Kufuatana na mapokeo ya Kiislamu malaika Jibril alimtokea alipokuwa na umri wa miaka 40 yaani mnamo mwaka [[610]]. Kutoka kwa malaika alipokea maneno ya Kurani na [[ufunuo]] huu uliendelea hadi mwisho wa maisha yake.
 
Mtume (saw) alitangaza yale aliyosikia kwa wafuasi wake na maneno ya Kurani yalianza kukusanywa tayari wakati wa maisha ya mtume. Baada ya kifo chake mwaka 632 [[khalifa]] wa tatu [[Uthman ibn Affan]] alikusanya ayah zote na kuziweka pamoja na kuwa kitabu kamili na kwamba kitabu iko hakijabadilika tena na ni sawasawa na yale aliyotangazwa mtume.
 
Ujumbe uliohubiriwa na Muhammad (saw) huko Maka ulipata wasikilizaji wachache, lakini viongozi wengi wa [[Quraishi|Kikuraishi]], waliokuwa kabila kubwa Maka, waliwaona kama hatari kwa Maka na mwaka [[622]] Waislamu walipaswa kutoka Maka wakahamia [[Yathrib]] mji wa jirani (Madina).
 
Uhamisho huu unaitwa [[hijra]] na tangu khalifa wa pili [[Umar ibn al-Khattab]] ni chanzo cha [[kalenda ya Kiislamu]].
* http://www.islamhouse.com
* [http://www.islam4real.blogspot.com Islam Blog]
 
 
[[Jamii:Uislamu]]