Amani ya Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q150995 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Ulaya 1648.PNG|thumb|400px|Ulaya baada ya Amani ya Westfalia 1648; <br />mstari mwekundu: Eneo la Dola Mtakatifu]]
'''Amani ya Westfalia''' ilikuwa mapatano yaliyomaliza [[vita ya miaka 30]] katika [[Ujerumani]] na nchi za jirani. Mapatano yalimalizika katika mikutano kwenye [[miji]] ya [[Münster]] na [[Osnabrück]].
Washiriki katika mapatano
Kati ya matokeo ya kudumu yalikuwa [[uhuru]] wa [[Uswisi]] na Uholanzi zilizohesabiwa awali kama sehemu za Dola Takatifu, mapatano kuhusu [[uvumilivu]] kati ya [[Wakatoliki]], [[Walutheri]] na [[Wareformed]] kama [[madhehebu]] makubwa ya [[Kikristo]] katika Ujerumani na kupungukiwa kwa [[madaraka]] ya [[Kaisari]] lakini kuongezeka
Mataifa ya nje kama Uswidi na Hispania yalikuwa sasa na maeneo ndani ya Dola Takatifu na Ujerumani
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
Mstari 12:
[[Jamii:Mikataba ya kimataifa|Amani ya Westfalia 1648]]
[[Jamii:Vita]]
|