Syria : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d →Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ur}} (2) using AWB (10903) |
No edit summary |
||
Mstari 17:
|area_rank = ya 89
|area_magnitude = 1 E11
|area =
|areami² = 71,479 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water =
|population_estimate =
|population_estimate_rank = ya 54
|population_estimate_year = Julai
|population_census =
|population_census_year =
Mstari 53:
}}
[[Picha:Sy-map.png|left|thumbnail|250px|Ramani ya Syria]]
'''Syria''' au '''Siria''' (kwa [[
Imepakana na [[Lebanon]], [[Israel]], [[Yordani]], [[Iraq]] na [[Uturuki]].
Nchi inatajwa pia kwa jina la "[[Shamu]]" katika maandiko ya [[Kiswahili]] ingawa neno hili lamaanisha zaidi eneo la kihistoria ambayo ni kubwa zaidi kuliko Syria ya leo.▼
Kuna [[pwani]] kwenye [[bahari]] ya [[Mediteranea]].
▲Nchi inatajwa
==Historia==
[[File:Syrian women, Description de L'Universe (Alain Manesson Mallet, 1683) (cropped).jpg|thumb|right|[[Wanawake]] wa Syria, mwaka [[1683]].]]
Katika nyakati za kale Siria ilikuwa [[kitovu]] cha [[dola]] la kwanza la [[Waarabu]] na [[mji mkuu]] [[Dameski]] ulikuwa makao ya ma[[khalifa]] [[Wamuawiya]].
Kabla ya mwaka [[1918]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Uturuki]].
Kati ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] na [[uhuru
Syria ya kisasa imepata kuwa nchi ya kujitawala kwa hatua mbalimbali tangu mwaka [[1936]] hadi kukamilisha [[uhuru]] wake mwaka [[1946]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/400/ |title = Report of the Commission Entrusted by the Council with the Study of the Frontier between Syria and Iraq |website = [[World Digital Library]] |date = 1932 |accessdate = 2013-07-11 }}</ref>
Syria imetawaliwa na [[chama]] cha [[Baath]] tangu mwaka [[1963]]
Syria ilishiriki katika [[vita]] vya Waarabu dhidi ya [[Israel]]. Hivyo sehemu ya [[Mkoa wa Qunaytrah]] imekaliwa na Israel tangu mwaka [[1967]].
Tangu Machi [[2011]] nchi imeingia [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vilivyoua watu zaidi ya 100,000 kufikia Septemba [[2013]] na kufanya wananchi [[milioni]] 9.5 kukimbia nyumba zao. Kati yao milioni 4 wako nje ya nchi. Kwa sasa [[nusu]] ya nchi imatawaliwa na [[DAESH]].
==Mikoa==
Syria kiutawala imegawiwa katikaa [[mikoa]] (''muhafazat'') 14:
* [[Al Hasakah]]
Line 92 ⟶ 96:
==Lugha==
[[Lugha ya kitaifa]] ni [[Kiarabu]].
Kuna pia maeneo yenye [[Wakurdi]] (9%), [[Waturuki]] (3-5%), [[Kiaramu|Waaramu]] (2%), [[Armenia|Waarmenia]] na wengineo ambao wanaendelea kutumia [[lugha]] zao.
==Dini==
Wasyria walio wengi ni [[Waislamu]] (74%), hasa [[Wasunni]] lakini kuna pia wafuasi wengi kidogo
10% 3% ni [[Wadruzi]]. [[Wayahudi]] wamekuwa wachache sana kutokana na [[ugomvi]] kati ya Waarabu na [[Israel]]. ==Marejeo==
Line 102 ⟶ 114:
== Viungo vya nje ==
* {{en}} [http://www.cafe-syria.com/Government.htm Tovuti rasmi]
* {{CIA World Factbook link|sy|Syria}}
* {{dmoz|Regional/Middle_East/Syria}}
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-middle-east-14703856 Syria profile] from the [[BBC News]]
* {{wikiatlas|Syria}}
{{Asia}}
|