Ufilipino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
| leader_names = [[Benigno Aquino III]]<br />[[Jejomar Binay]]
| area = 300,000
| area_rank = ya 7273
| area_magnitude = 1 E11
| percent_water = 0.664
| population_estimate = 102,291,200
| population_estimate = 85,236,913<!--This figure doesn't correspond to the source: 90,420,000--><ref name="population">[http://www.census.gov.ph/data/sectordata/popprojtab.html Philippine Census 2005 Population Projection]</ref>
| population_estimate_year = 20062015
| population_estimate_rank = ya 12
| population_census = 7692,504337,077852
| population_census_year = 20002010
| population_density = 276340.97
| population_densitymi² = 715883.11 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
| population_density_rank = ya 4243
| GDP_PPP_year = 2005
| GDP_PPP = $453 billion <!--IMF-->
Mstari 60:
}}
 
'''Ufilipino''' (kwa [[Kifilipino]] : ''Pilipinas''), ni [[nchi ya kisiwani]] kwenye [[Funguvisiwa ya Malay]] katika [[Asia ya Kusini-Mashariki]]. Mji mkuu ni [[Manila]]. Ina visiwa 7,107 vyenye eneo la 300,000 [[km²]].
 
Ina [[visiwa]] 7,107 vyenye eneo la [[km²]] 300,000.
Nchi iliitwa kwa jina la Kihispania ''"Las Islas Filipinas"'' (Visiwa vya Filipo) na [[Ruy López de Villalobos]] kwa heshima ya mfalme [[Filipo II wa Hispania]].
Hispania ilitwala eneo tangu 1565 hadi [[Mapinduzi ya Ufilipino wa 1896]]. [[Marekani]] ilitwaa visiwa [[1898]] katika vita ya [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kuvitawala kama koloni hadi [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[Japani]] ikatwaa nchi kwa miaka minne.
 
[[Mji mkuu]] ni [[Manila]].
Baada ya vita Ufilipino ikapewa uhuru wake.
 
[[Picha:Ph physical map.png|250px|thumb|left|GeographyJiografia ofya the PhilippinesUfilipino.]]
Wakazi wengi wa Ufilipino hufuata Ukristo wa Kikatoliki (zaidi ya 80%) ambao ni urithi wa athira ya Kihispania. Lugha ya Kiingereza iliachwa na Marekani kama lugha rasmi pamoja na [[Kifilipino]]; pia kuna lugha nyingi za asili (angalia [[orodha ya lugha za Ufilipino]]). Athira ya Kiislamu huonekana hasa kwenye kusini ya kisiwa cha [[Mindanao]] kwa jumla 5% za Wafilipino ni Waislamu wa dhehebu la [[Sunni]].
 
=== SiasaJiografia na serikali ===
Ufilipino ina visiwa 7,107 vinavyohesabiwa katika kundimakundi tatumatatu zinazoitwayanayoitwa kufuatana na kuwa karibuujirani na visiwa vikubwa vya:
* [[Luzon]]
* [[Visaya]]
* [[Mindanao]].
 
Luzon ni kisiwa kikubwa na Mindanao ni kisiwa cha pili. Visaya ni kundi la visiwa katikati ya funguvisiwa.
 
Mji mkuu wa Manila uko Luzon. [[Quezon City]] ni [[mji]] mkubwa. [[Cebu City]] ni mjimkubwamji mkubwa upande wa Visaya. [[Davao City]] ni mji mkuu wa Mindanao.
 
==Jina==
NchiMwaka [[1543]] nchi iliitwa na [[Ruy López de Villalobos]] kwa [[jina]] la [[Kihispania]] ''"Las Islas Filipinas"'' (Visiwa vya Filipo) nakwa [[Ruy López de Villalobosheshima]] kwa heshima ya [[mfalme]] [[Filipo II wa Hispania]].
 
==Historia==
[[Wanegritos]] ni kati ya wakazi asilia ya visiwa hivyo, wakifuatwa na [[Waaustronesia]].
 
Baadaye kukawa na athira ya [[Wachina]], [[Wamalay]], [[Wahindi]] na [[Wamori]].
 
[[Hispania]] ilitwala eneo hilo tangu mwaka [[1565]] hadi [[Mapinduzi ya Ufilipino wa 1896]].
 
Hispania ilitwala eneo tangu 1565 hadi [[Mapinduzi ya Ufilipino wa 1896]]. [[Marekani]] ilitwaa visiwa hivyo mwaka [[1898]] katika vita ya [[Vita ya Marekani dhidi Hispania]] na kuvitawala kama [[koloni]] hadi [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] wakati [[Japani]] ikatwaailipotwaa nchi kwa miaka minne.
 
Baada ya [[vita]] Ufilipino ikapewa [[uhuru]] wake.
 
== Siasa na serikali ==
Ufilipino ina [[serikali]] ya [[urais]], tena ya umoja (na tofauti kiasi, sababu baadhi ya maeneo yana uhuru mkubwa kutoka serikali ya kitaifa) ambapo Rais ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali na, pia ni [[kamanda]] mkuu wa [[jeshi|majeshi]]. Rais huchaguliwa kwa [[kura]] ya [[umma]] kwa kipindi kimoja cha miaka sita, wakati ambapo yeye huteua na kusimamia baraza la mawaziri. [2]
 
Kongamano la [[bunge]] limeundwa na [[Seneti]], inayohudumu kama jumba kuu linalo wajumbe waliochaguliwa kwa muda wa miaka sita, na [[Baraza la Wawakilishi]], inayohudumulinalohudumu kama jumba ndogodogo, inayo wajumbe waliochaguliwa kwa muda wa miaka mitatu. Wao huchaguliwa kutoka kwa wilaya za bunge na kupitia sekta za uwakilishi. [2]
 
Nguvu za [[mahakama|kimahakama]] zimewekwa katika Mahakama TukufuiliyoundwaTukufu iliyoundwa na [[Jaji Mkuu]] kama afisa msimamizi, na [[jaji|majaji]] washirikishi kumi na Wannewanne, wote walioteuliwa na Rais kutoka mapendekezo ya Baraza la Mahakama na Korti. [2]
 
Kumekuwa na majaribio ya kubadilisha serikali iwe [[shirikisho]], ya bunge kuwa moja au serikali ubunge mwanzo katika muda wa Ramos hadi sasa. [48] [49]
Ufilipino ina serikali ya urais, tena ya umoja (na tofauti kiasi sababu baadhi ya maeneo yana uhuru mkubwa kutoka serikali ya kitaifa) ambapo Rais ni mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali na pia ni kamanda mkuu wa majeshi. Rais huchaguliwa kwa kura ya umma kwa kipindi kimoja cha miaka sita, wakati ambapo yeye huteua na kusimamia baraza la mawaziri. [2]
Kongamano la bunge limeundwa na Seneti, inayohudumu kama jumba kuu linalo wajumbe waliochaguliwa kwa muda wa miaka sita, na Baraza la Wawakilishi, inayohudumu kama jumba ndogo, inayo wajumbe waliochaguliwa kwa muda wa miaka mitatu. Wao huchaguliwa kutoka kwa wilaya za bunge na kupitia sekta za uwakilishi. [2]
Nguvu za kimahakama zimewekwa katika Mahakama Tukufuiliyoundwa na Jaji Mkuu kama afisa msimamizi, na majaji washirikishi kumi na Wanne wote walioteuliwa na Rais kutoka mapendekezo ya Baraza la Mahakama na Korti. [2]
Kumekuwa majaribio kubadilisha serikali iwe shirikisho, ya bunge moja au serikali ubunge mwanzo katika muda wa Ramos hadi sasa. [48] [49]
 
=== Utawala ===
Kuna mikoa ifuatayo:
 
Line 97 ⟶ 122:
* [[Mkoa wa Mji Mkuu Manila]] (''Metro Manila'')
 
==Watu==
[[Picha:Ph physical map.png|250px|thumb|left|Geography of the Philippines]]
Wananchi wana asili tofauti sana, kutokana na jiografia na historia ya visiwa hivyo. Mbali na makabila ya wenyeji, kuna Wachina wengi (milioni 2) na ma[[chotara]] wengi sana wenye [[damu]] ya Kichina (milioni 18).
 
Wafilipino milioni 12 wanaishi nje ya nchi.
== Jiografia ==
Ufilipino ina visiwa 7,107 vinavyohesabiwa katika kundi tatu zinazoitwa kufuatana na kuwa karibu na visiwa vikubwa vya:
* [[Luzon]]
* [[Visaya]]
* [[Mindanao]].
 
Wakazi wengi wa Ufilipino hufuata [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]] (79%) ambao ni [[urithi]] wa [[athira]] ya Wahispania. Hata hivyo Ufilipino ni [[nchi isiyo na dini]] [[dini rasmi|rasmi]]. Wakristo wengine wanakaribia 10%.
Luzon ni kisiwa kikubwa na Mindanao ni kisiwa cha pili. Visaya ni kundi la visiwa katikati ya funguvisiwa.
 
Mji mkuu wa Manila uko Luzon. [[Quezon City]] ni mji mkubwa. [[Cebu City]] ni mjimkubwa upande wa Visaya. [[Davao City]] ni mji mkuu wa Mindanao.
[[Lugha]] ya [[Kiingereza]] iliachwa na [[Marekani]] kama [[lugha rasmi]] pamoja na [[Kifilipino]]; pia kuna lugha 182 za asili (angalia [[orodha ya lugha za Ufilipino]]).
 
Athira ya [[Uislamu]] huonekana hasa kusini mwa kisiwa cha [[Mindanao]]ː kwa jumla 5-10% za Wafilipino ni Waislamu wa [[madhehebu]] ya [[Sunni]]. 2% wanafuata [[dini za jadi]] na 1% [[Ubuddha]].
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya Njenje ==
=== ;Tovuti rasmi ===
* [http://www.gov.ph www.gov.ph] - Government portal
* [http://www.op.gov.ph www.op.gov.ph] - Office of the President
Line 120 ⟶ 145:
* [http://www.comelec.gov.ph www.comelec.gov.ph] - Commission on Elections
 
;Biashara
=== Ona Pia ===
* [http://wits.worldbank.org/CountryProfile/Country/PHL/Year/2012/Summary World Bank Summary Trade Statistics Philippines]
* [http://www.dmoz.org/Regional/Asia/Philippines/ Open Directory Project]
 
* [http://www.up.edu.ph University of the Philippines]
;Taarifa za jumla
* [http://www.filipinotvchannel.com The Filipino Channel] - Satellite TV from the Philippines
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-15521300 Philippines profile] from the [[BBC News]]
* {{Wayback |date=20110521230339 |url=http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/for/philippines.htm |title=Philippines}} at UCB Libraries GovPubs
* {{CIA World Factbook link|rp|Philippines}}
* {{dmoz|Regional/Oceania/Philippines}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/456399/Philippines Philippines] at ''[[Encyclopædia Britannica]]''
* [http://www.noypi.ph/ Philippine News and Current Events]
* [http://www.ifs.du.edu/ifs/frm_CountryProfile.aspx?Country=PH Key Development Forecasts for the Philippines] from [[International Futures]]
 
;Vitabu na makala
* [http://www.gutenberg.org/browse/authors/b#a2296 History of the Philippine Islands] in many volumes, from [[Project Gutenberg]] (indexed under [[Emma Helen Blair]], the general editor)
 
;Wikimedia
<!--Do not add commercial links or your website. Suggest them via the discussion page. Failure to do so will mean the deletion of your websites as spam.-->
* [[meta:Wikimedia Philippines|Wikimedia Philippines]]
* {{Wikiatlas|Philippines}}
 
;Vingine
<!--Do not add commercial links or your website. Suggest them via the discussion page. Failure to do so will mean the deletion of your websites as spam.-->
* [http://www.adb.org/ Asian Development Bank (ADB)]
* [http://www.filipiniana.net/ Filipinana.net – Free digital library and a research portal]
* [http://www.wikimapia.org/#y=12554564&x=122915039&z=6&l=0&m=a WikiSatellite view of Philippines] at [[WikiMapia]]
 
{{asia}}