Tofauti kati ya marekesbisho "Turkmenistan"

224 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 174 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q874 (translate me))
}}
 
'''Turkmenistan''' ni nchi ya [[Asia ya Kati]].
'''Turkmenistan''' ni nchi ya [[Asia ya Kati]]. Jina limetokana lugha ya [[Kiajemi]] lamaanisha "nchi wa [[Waturkmeni]]". Hadi [[1991]] ilikuwa jamhuri ya [[Umoja wa Kisovyet]] kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kimturkmeni]]. Imepakana na [[Afghanistan]], [[Uajemi]], [[Uzbekistan]], [[Kazakhstan]] na [[Bahari Kaspi]]. Wakazi walio wengi ni Waislamu; kuna kadirio ya Waislamu asilimia 87 kati ya wakazi wote lakini haijulikani ni wangapi wanaofuata dini yao.
 
Jina limetokana na [[lugha]] ya [[Kiajemi]]; lamaanisha "nchi wa [[Waturkmeni]]".
 
Imepakana na [[Afghanistan]], [[Uajemi]], [[Uzbekistan]], [[Kazakhstan]] na [[Bahari Kaspi]].
 
== Jiografia ==
[[Picha:Turkmenistan-map.png|thumb|300px|Map[[Ramani]] ofya Turkmenistan.]]
Nchi ina eneo la [[km²]] 488,100, karibu sawa na [[Kamerun]].
 
Nchi ina eneo la 488,100 [[km²]]) karibu sawa na Kamerun. Sehemu kubwa (80 %) ni [[jangwa]], hasa [[jangwa Karakum]]. Milima ya [[Kopet Dag]] katika kusini magharibi inafikia kimo cha 2,912 m.Kati ya mito mikubwa ni [[Amu Darya]], [[mto Murghab]] na mto [[Hari Rud]].
 
[[Milima]] ya [[Kopet Dag]] kusini magharibi inafikia [[kimo]] cha [[mita]] 2,912.
Hali ya hewa haina baridi sana lakini kuna joto kali wakati wa kiangazi. Mvua ni kidogo zanyesha hasa kati ya Januari na Mei.
 
MijiKati muhimuya [[mito]] mikubwa ni [[AshgabatAmu Darya]], [[Turkmenbashimto Murghab]] (zamani Krasnovodsk) na mto [[DashoguzHari Rud]].
 
[[Hali ya hewa]] hainasi [[baridi]] sana lakini kuna [[joto]] kali wakati wa [[kiangazi. Mvua ni kidogo zanyesha hasa kati ya Januari na Mei]].
== Siasa ==
Turkmenistan ilitwaliwa na [[Urusi]] tangu mwisho wa [[karne ya 19]] ikaingia hivyo katika Umoja wa Kisovyeti baada ya 1917 na kuwa jamhuri ndani yake.
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa chama cha kikomunisti [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama rais hadi kifo chake mwaka 2006. Niyasov alibadilisha utawala wa chama cha kikomunisti kuwa udikteta wake yeye mweyewe. Akaanza kutumia jina la "Turkmenbashi" (Baba wa Turkmeni wote) na sanamu zake zikasimamishwa kote nchini mara nyingi sanamu za dhahabu hata kama wanachi walikuwa na maisha magumu.
 
[[Mvua]] ni chache; zanyesha hasa kati ya [[Januari]] na [[Mei]].
Mapato kutoka gesi na mafuta ya petroli zilimwezesha kuendesha uchumi wa nchi kwa hiari yake bia mabadiliko makubwa jinsiilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo. Zaidi ya nusu ya wannachi hawana ajira na kuishi maisha ya umaskini lakini wanapewa chumvi, umeme na maji bure. Mkate na petroli zinauzwa kwa bei ya duni sana lakini kuba uhaba wa mara kwa mara.
 
[[Miji]] muhimu ni [[Ashgabat]], [[Turkmenbashi]] (zamani Krasnovodsk) na [[Dashoguz]].
Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua makamu wa waziri mkuu [[Gurbanguly Berdimuhammedov]] kuwa rais mpya ingawa kikatiba mwenyekiti wa bunge alitakiwa kuchukua nafasi hii. Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa mbele ya mahakama juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithebitishwa katika uchaguzi wa 11 Februari 2007 kwa 89% za kura. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
 
== SiasaHistoria ==
Turkmenistan ilitwaliwa na [[Urusi]] tangu mwisho wa [[karne ya 19]] ikaingia hivyo katika [[Umoja wa Kisovyeti]] baada ya mwaka [[1917]] na kuwa jamhuri ndani yake.
 
Hadi mwaka [[1991]] ilikuwa [[jamhuri]] ya [[Umoja wa Kisovyet]] kwa jina la [[Jamhuri ya Kisovyeti ya Kijamii ya Kiturkmeni]].
 
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa [[chama cha kikomunisti]] [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama [[rais]] hadi [[kifo]] chake mwaka [[2006]].
 
Wakati wa kuporomoka kwa Umoja wa Kisovyeti kiongozi wa chama cha kikomunisti [[Saparmirat Niyasov]] akaendelea kushika uongozi akitawala kama rais hadi kifo chake mwaka 2006. Niyasov alibadilisha utawala wa chama cha kikomunisti kuwa [[udikteta]] wake yeye mweyewemwenyewe. Akaanza kutumia jina la "Turkmenbashi" (Baba wa Turkmeni wote) na [[sanamu]] zake zikasimamishwa kote nchininchiniː mara nyingi sanamu za [[dhahabu]] hata kama wanachiwananchi walikuwa na [[maisha]] magumu.
 
Mapato kutoka [[gesi]] na mafuta ya [[petroli]] zilimwezesha kuendesha [[uchumi]] wa nchi kwa [[hiari]] yake bila mabadiliko makubwa jinsi ilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo.
 
Mapato kutoka gesi na mafuta ya petroli zilimwezesha kuendesha uchumi wa nchi kwa hiari yake bia mabadiliko makubwa jinsiilivyokuwa kawaida wakati wa anguko la ukomunisti penginepo. Zaidi ya nusu ya wannachiwananchi hawana [[ajira]] na kuishi maisha ya [[umaskini]], lakini wanapewa [[chumvi]], [[umeme]] na [[maji]] bure. [[Mkate]] na petroli zinauzwa kwa bei ya dunichini sana, lakini kubakuna uhaba wa mara kwa mara.
 
Baada ya kifo cha Niyasov kamati ya viongozi ilimteua makamu wa [[waziri mkuu]] [[Gurbanguly Berdimuhammedov]] kuwa rais mpya ingawa kikatiba mwenyekiti wa bunge alitakiwa kuchukua nafasi hii. Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa mbele ya mahakama juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithebitishwa katika uchaguzi wa 11 Februari 2007 kwa 89% za kura. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
 
Mwenyekiti wa bunge alishtakiwa [[mahakama]]ni juu ya makosa fulani na Berdimuhammedov alithibitishwa katika [[uchaguzi]] wa tarehe [[11 Februari]] [[2007]] kwa 89% za [[kura]]. Watazamaji walidai kura ilikuwa ya uwongo.
 
==Watu==
Wakazi walio wengi ni [[Waislamu]]; kuna kadirio ya Waislamu asilimia 87 kati ya wakazi wote lakini haijulikani ni wangapi wanaofuata [[dini]] yao.
 
{{Mbegu-jio-Asia}}
{{asia}}
{{Mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Turkmenistan]]