Mkoa wa Ruvuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 42:
 
Umepewa jina kutokana na [[mto Ruvuma]] ambao ni mpaka wake wa kusini na [[Msumbiji]]. Umepakana na [[Ziwa la Nyasa]] na [[Mkoa wa Morogoro]] upande wa magharibi, mikoa ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mkoa wa Lindi|Lindi]] upande wa kaskazini na [[Mkoa wa Mtwara]] upande wa Mashariki.
 
===Elimu==
Elimu bado inahitajika hasa kwa maeneo ya vijijini maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo hutuletea changamoto katika maendeleo ya taifa maana taifa huitaji watu ambao ni wasomi.
=== Wilaya ===
Ndani ya mkoa huu kuna wilaya sita ambazo ni pamoja na (idadi ya wakazi katika mabano):
Line 66 ⟶ 65:
* Mbinga Mjini : mbunge ni [[Sixtus Mapunda]] ([[CCM]])
* Mbinga Vijijini : mbunge ni [[Martin Msuha]] ([[CCM]])
 
 
 
=== Wakazi ===
Line 74 ⟶ 71:
Karibu na Songea iko [[monasteri]] kubwa ya [[Peramiho]] ya watawa [[Wabenedikto]] na nyingine iko [[Hanga]].
 
===Elimu===
[[Elimu]] bado inahitajika, hasa kwa maeneo ya vijijini, maana watu wengi katika mkoa huu hawajaelimika hivyo hutuletea [[changamoto]] katika [[maendeleo ya taifa]] maana [[taifa]] huitajihuhitaji watu ambao ni wasomi.
 
===Miundombinu===
Sehemu ya mashariki ya mkoa kuna barabara ya lami kutoka [[Dar es Salaam]] kupitia [[Makambako]] na [[Njombe]] hadi Songea. Barabara kuu kwenda [[Lindi]] iko katika hali mbaya.
 
 
== Viungo vya nje ==