Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

156 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
 
* Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na [[maumivu]] na [[udhaifu]], pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba [[hisia]] hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.
==Naishauri hii nchi ya Tanzania iongeze hospitali za kutosha na wataalamu wa mambo ya afya hasa kwa maeneo ya vijijini kwani hii itasaidia kupunguza vifo .
 
==Majukumu==
[[Serikali]] zinatarajiwa kujenga [[hospitali]] nyingi hata [[kijiji|vijijini]] kwa sababu watu wengi hupoteza maisha kwa kukosa [[huduma]] za afya.