Msitu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 959869 lililoandikwa na AMANIEL CLEOPA MCHOME (Majadiliano)
Mstari 4:
 
Misitu inaweza kuwa ya asili au ya kupandwa na binadamu.
 
==Napenda kuwashauri watu watunze sana vyanzo vya asili kama misitu hii ni kwa faida yetu wenyewe inatusaidia kupata hata mvua kwa wingi.
Mara nyingi [[wanyama]] mbalimbali, wakubwa kwa wadogo, huishi na hutegemea uoto huo kwa kuwatimizia mahitaji yao kwa [[malazi]] na [[chakula]].
 
Mstari 34:
*ongezeko la [[hali joto]]
 
Hivyo ni bora kutunza misitu kwa ajili ya manufaa yetu sisi na vizazi vijavyo. Ni muhimu kuwashauri watu watunze sana vyanzo vya asili kama misitu: hii ni kwa faida yetu wenyewe, inatusaidia hata kupata mvua kwa wingi.
 
{{mbegu-biolojia}}