Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 49:
==Huduma za Jiji==
Huduma ya [[maji]] Dar es Salaam imekuwa na [[tatizo]] kubwa katika kudhibiti mfumo wa [[maji taka]] katika mkoa wa Dar es Salaam kwa muda mrefu. Tangu shirika la maji DAWASCO (Dar es Salaam Water Supply Company) lilipowekwa rasmi kama shirika husika katika kuratibu [[utaratibu]] mzima wa [[mfumo wa maji safi]] na maji taka, kumekuwa na nafuu kidogo tu, lakini baada ya muda, liliibuka tatizo la kuibiwa kwa ma[[bomba]] na [[uharibifu]] wa vyanzo mbalimbali vya maji.
 
==Elimu==
kwenyeKwenye suala hili la [[elimu]] [[vijana]] wanatakiwa kupewa elimu; hasa kwa vijana wa mitaani wasio ingizawasioingiza kipato inabidi wapewe elimu kwa [[kazi]] fulani ili waweze kuajiliwakuajiriwa na kulipa faida [[taifa]] kwa kuingizia kipato na kukuza [[uchumi]] wa taifa. mfanoMfano wa kazi hizo ni kama [[ujenzi]] wa [[nyumba]] n.k.
 
== Picha za Dar es Salaam ==
Line 60 ⟶ 63:
Image:Dar Mnazi-mmoja.jpg|Mnazi Mmoja
</gallery>
 
==Elimu==
kwenye suala hili la elimu vijana wanatakiwa kupewa elimu hasa kwa vijana wa mitaani wasio ingiza kipato inabidi wapewe elimu kwa kazi fulani ili waweze kuajiliwa na kulipa faida taifa kwa kuingizia kipato na kukuza uchumi wa taifa mfano kazi hizo ni kama ujenzi wa nyumba n.k.
==Marejeo==
{{marejeo}}