Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 36:
 
Masomo ya viwango vya juu hujumuisha elimu, utafiti na huduma za jamii na katika uwanja wa elimu, hujumulisha viwango vya ''shahada ya kwanza'' na nyingine za juu. Elimu ya juu aghalabu huhusu kufuzu katika kiwango cha shahada ya kwanza.[[]] kufuzu. Idadi kubwa ya watu katika nchi zinazoendelea (hadi kufikia asilimia 50%) wameweza kupata elimu ya juu wakati fulani maishani mwao. kwa hivyo, elimu ya juu ni muhimu kwa uchumi wa taifa, ni kiwanda cha pekee ambacho huzalisha wafanyikazi walioelimika.{{Citation needed|date=Februari 2008}}
 
Naishauri serikali ya Tanzania izidi kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa vyuoni ili waweze kupata elimu na pia kusonga mbele kwa kuwa elimu ni ufunguo wa maisha
 
=== Elimu ya watu wazima ===