Tofauti kati ya marekesbisho "Elimu"

21 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
Barani Ulaya, shule za sarufi au akademia zilikuwepo hata katika miaka ya 1500. Shule za umma au zile za kulipa karo au hata shule za ufadhili na wakfu zina historia ndefu zaidi.
 
[[Tunapaswa]] [[jitihada|kujitahidi]] katika [[kuhamasisha]] elimu ya [[sekondari]] kwani [[hutusaidia]]huwezesha kufikakufikia [[chuokikuuchuo kikuu]].
 
=== Elimu ya juu ===
Elimu ya juu, yaani ile ya baada ya shule ya upili au elimu ya awamu ya tatu, si ya lazima. Elimu hii kwa kawaida hujumulisha viwango vya shahada ya kwanza, ya uzamili, ya uzamifu pamoja na elimu ya ujuzi wa kitaalamu. Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu. Kwa jumla elimu ya juu hutolewa na vyuo na vyuo vikuu. Elimu ya juu huambatana na kutolewa kwa vyeti, stashahda za diploma na shahada za digrii kitaaluma.
 
Masomo ya viwango vya juu hujumuisha elimu, utafiti na huduma za jamii na katika uwanja wa elimu, hujumulisha viwango vya ''shahada ya kwanza'' na nyingine za juu. Elimu ya juu aghalabu huhusu kufuzu katika kiwango cha shahada ya kwanza.[[]] kufuzu. Idadi kubwa ya watu katika nchi zinazoendelea (hadi kufikia asilimia 50%) wameweza kupata elimu ya juu wakati fulani maishani mwao. kwa hivyo, elimu ya juu ni muhimu kwa uchumi wa taifa, ni kiwanda cha pekee ambacho huzalisha wafanyikazi walioelimika.{{Citation needed|date=Februari 2008}}
 
NaishauriKatika serikali[[nchi yamaskini]] Tanzaniaserikali izidizinatakiwa kuongeza mikopo kwa wanafunzi wa vyuoni ili waweze kupata elimu nahiyo piana kusonga mbele, kwa kuwa elimu ni [[ufunguo]] wa [[maisha]].
 
=== Elimu ya watu wazima ===