Toba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Shutuma ya [[Nabii Nathan dhidi ya Mfalme Daudi na toba ya huyo (Paris Psalter, folio 136v, karn...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Paris psaulter gr139 fol136v.jpg|thumb|right|Shutuma ya [[Nabii Nathan]] dhidi ya [[Mfalme Daudi]] na toba ya huyo ([[Paris Psalter]], folio 136v, [[karne ya 10]]).]]
'''Toba''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]) ni msimamo wa kujuta [[dhambi]] na kwa hiyo kutaka kurekebisha kilichoharibika kwa njia hiyo.
 
Toba inaweza kujitokeza kwa matendo ya nje ambayo mtu anajipangia ili kubadilika na kufidia. Kati ya matendo hayo, kuna [[Sala|kusali]], kusoma [[vitabu]] vya [[dini]], [[saumu|kufunga]], kujinyima n.k.