Amani ya Westfalia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Ulaya 1648.PNG|thumb|400px|Ulaya baada ya Amani ya Westfalia 1648; <br />mstari mwekundu: EneoMipaka laya Dola MtakatifuTakatifu.]]
'''Amani ya Westfalia''' ilikuwa mapatano yaliyomalizayaliyofanyika mwaka [[1648]] ili kumaliza [[vita ya miaka 30]] katika [[Ujerumani]] na nchi za jirani. Mapatano yalimalizika katika mikutano kwenye [[miji]] ya [[Münster]] na [[Osnabrück]].
 
Washiriki katika mapatano hayo walikuwa [[Kaisari Ferdinand III]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]], watawala wengine wa ma[[dola]] ndani ya Ujerumani, halafu [[Hispania]], [[Ufaransa]], [[Uswidi]] na [[Uholanzi]].
Mstari 7:
 
Mataifa ya nje kama Uswidi na Hispania yalikuwa sasa na maeneo ndani ya Dola Takatifu na Ujerumani yenyewe; madola ya Ujerumani kama [[Habsburg]]-[[Austria]] na [[Brandenburg]]-[[Prussia]] yalitawala pia maeneo nje ya Dola Takatifu.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]
[[Jamii:Historia ya Ujerumani]]
[[Jamii:Mikataba ya kimataifa|Amani ya Westfalia 1648]]
[[Jamii:Vita vya dini]]