Hifadhi ya mazingira : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Hifadhi ya mazingira''' ni juhudi zinazofanywa na [[binadamu]] ili kuhakikisha [[ulimwengu]] anamoishi usiharibiwe na [[utendaji]] wake, bali uweze kuwafaa watu wa vizazi vijavyo.
 
Tunatakiwa tutunze mazingira kwani tukiyachafua tutapata [[magonjwa ya mlipuko]] kama vile [[kipindupindu]] na mengine mengi.
 
==Viungo vya nje==