Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

145 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
d (→‎Historia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|eu}} using AWB (10903))
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zao. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[China]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]]. Wataalamu hawakubaliani kama kilimo cha [[Afrika]] kina asili yake huko Mashariki ya Kati au kama ilianzishwa barani peke yake.
Napenda kuishauri serikali ya Tanzania izidi kuongeza dhana za kilimo ili watu waweze kupata soko zuri la mazao ya biashara na mazao ya chakula.
 
{{mbegu-uchumi}}
<!-- interwiki -->