Bamba la gandunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|thumb|350px|Mabamba gandunia ya dunia yetu]]
'''Bamba gandunia''' ni kipande kikubwa cha [[ganda la dunia]]. lenyeHoja la sayansi ni ya kwamba ganda la dunia limevunjika kwa vipande mbalimbali vinavyoitwa mabamba. Kila bamba lapakana na mabamba mengine. Mabamba yasukumwa na mikondo ya moto chini yao kama majani yanayokaa usoni wa maji inayoanza kuchemka katika sufuria. Hivyo kila bamba lina mwendo wake wa pekee pamoja na au dhidi ya mabamba [[gandunia]] mengine.
 
Mabamba haya ni sehemu ya nje ya [[tabakamwamba]] (lithosferi). Tabaka hili limevunjika katika vipande vikubwa 7 na vingine vidogo vinavyoelea juu ya tabaka lenye hali ya kiowevu chenye mnato mzito.
 
Mabamba haya yote yameonekana kuwa na mwendo wa [[mita|sentimita]] kadhaa (2 - 20 [[cm]] zimepimwa) kwa mwaka. Mwendo huu husababishwa na nguvu ya [[magma]] (mwamba moto wa kiowevu) inayopanda juu na kusukuma mabamba haya. Ulinganisho ni kama vipande vya ganda inayotokea juu ya maziwa vinaanza kuonyesha mwendo kama sufuria ya maziwa imepashwa moto.
 
==Mabamba makuu ya dunia==