Atanasi wa Aleksandria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 42:
 
==Maandishi==
Pamoja na kyakeupatwakupatwa na [[vurugu]] nyingi maishani, Atanasi aliandika sana: [[hotuba]] na [[barua]], lakini pia vitabu juu ya [[imani]], [[historia]], [[ufafanuzi]] wa [[Biblia]], pamoja na [[maisha ya Kiroho]]. Kitabu chake maarufu kimojawapo kinahusu [[umwilisho]] wa Neno; humo aliandika kuwa [[Neno wa Mungu]] “alifanyika mtu ili sisi tuweze kufanywa [[Mungu]]”.
 
Lakini kitabu ambacho kilienea na kuathiri zaidi maisha ya Kanisa labda ni "[[Maisha ya Antoni]]" ambacho kilieneza [[umonaki]] haraka mashariki na vilevile magharibi.