Ajali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Partial stadium collapse at Big12 college football championship - 2005.JPG|right|thumb|Kitalu cha benchi chaanguka katika mchezo wa soka katika chuo, kikiwabwaga mashabiki kwenye pande.]]
 
'''Ajali''' (kutoka neno la [[Kiarabu]]) ni [[tukio]] maalumu linalotambulika na lisilotarajiwa, geni na lisilotakikana ambalo hutokea katika [[muda]] na [[mahali]] fulani bila [[sababu]] au [[kusudi|makusudi]] dhahiri, lakini husababisha [[dhara|madhara]] yaliyo wazi. Ajali hudokeza kwa ujumla matokeo mabaya ambayo labda yangeweza kuepukwa au kukingwa ikiwa matukio yaliyosababisha ajali hiyo yangetambuliwa, na kurekebishwa, kabla ya tukiohasa hilo[[Kifo|vifo]].
 
Ajali hudokeza kwa ujumla matokeo mabaya ambayo labda yangeweza kuepukwa au kukingwa ikiwa matukio yaliyosababisha ajali hiyo yangetambuliwa na kurekebishwa kabla ya tukio hilo.
 
Wataalam[[Wataalamu]] katika nyanja yaza kuepuka [[jeraha|majeraha]] hawatumii neno 'ajali' kuelezea matukio ambayo husababisha majeraha katika jaribio la kubainisha asili ya majeraha mengi ambayo yangeweza kukingwa. Matukio kama hayo huzingatiwa kutoka mtazamo wa epidemiologia[[epidemiolojia]] - yanaweza kuepukwa na kukingwa. Maneno yanayopendelewa hueza kulifananua tukio lenyewe zaidi, badala ya asili yake isiyotakikana (k.m kugongana, kufa [[maji]], kuanguka, n.k)
 
Ajali ya aina ya kawaida ([[gari|magari]], [[moto]], nkn.k.) huchunguzwa ili kubaini jinsi ya kuepukana nazo katika siku zijazo. Mara nyingine hii hujulikana kama Uchambuzi wa sababu ya asili, lakini haihusu ajali ambazo haziwezi kutabiriwa. Sababu haswa ya ajili ya nadra isiyoweza kuepukwa huenda ikawa haiwezi tambulika, na kwa hivyo matukio ya siku zijazo zitabaki kuwa "ajali."
 
== Ufafanuzi ==
Ajali ya aina ya kawaida (magari, moto, nk) huchunguzwa ili kubaini jinsi ya kuepukana nazo katika siku zijazo. Mara nyingine hii hujulikana kama Uchambuzi wa sababu ya asili, lakini haihusu ajali ambazo haziwezi kutabiriwa. Sababu haswa ya ajili ya nadra isiyoweza kuepukwa huenda ikawa haiwezi tambulika, na kwa hivyo matukio ya siku zijazo zitabaki kuwa "ajali."
Unapofafanua kinaganaga, ajali huweza kutaja tukio lenyewe pekee, bila kuzingatia [[mazingira]] ya tukio hilo, au [[athari]] za tukio hilo, yaani "ajali" huishia katika tukio la mara moja, ambalo huleta athari ambazo hazikutarajiwa. Katika matumizi ya kawaida, hata hivyo, 'ajali' huenda ni pamoja na mfumo mzima wa mazingira (fursa, iliyokuwepo awali, au matokeo yanayojiendeleza bila kuthibitishwa; matokeo ya kawaida; wakati na mahali yasiyoweza kutabiriwa; washiriki; nk) yanayoelekea, pamoja na, kusababishwa na tukio hilo.
 
Hata hivyo, katika matumizi ya kawaida, 'ajali' huenda ni pamoja na mfumo mzima wa mazingira (fursa, iliyokuwepo awali, au matokeo yanayojiendeleza bila kuthibitishwa; matokeo ya kawaida; wakati na mahali yasiyoweza kutabiriwa; washiriki n.k.) yanayoelekea, pamoja na kusababishwa na tukio hilo.
 
== Ufafanuzi ==
Unapofafanua kinaganaga, ajali huweza kutaja tukio lenyewe pekee, bila kuzingatia mazingira ya tukio hilo, au athari za tukio hilo, yaani "ajali" huishia katika tukio la mara moja, ambalo huleta athari ambazo hazikutarajiwa. Katika matumizi ya kawaida, hata hivyo, 'ajali' huenda ni pamoja na mfumo mzima wa mazingira (fursa, iliyokuwepo awali, au matokeo yanayojiendeleza bila kuthibitishwa; matokeo ya kawaida; wakati na mahali yasiyoweza kutabiriwa; washiriki; nk) yanayoelekea, pamoja na, kusababishwa na tukio hilo.
== Aina ==
=== Kimaungo na yasiyo ya kimaungo ===
Mifano ya kimaungo ni kama, migongano isiyotarajiwa au maanguko, kujeruhiwa kwa kugusa kitu kalikikali, moto, au [[umeme]], au kunywa [[sumu]]. Mifano ya ajali isiyo ya kimaungo ni kama, kutoboa siri bila kutaka au kusema kitu kimakosa, kusahau miadi, nk
==Tunatakiwa tuendeshe vyombo vya usafiri kwa uangalifu ili kupunguza ajali.
 
Mifano ya ajali isiyo ya kimaungo ni kama kutoboa siri bila kutaka au kusema kitu kimakosa, kusahau [[miadi]], n.k.
 
=== Katika Shughulishughuli ===
 
* Ajali wakati wa utekelezaji wa kazi huitwa ajali kazini.
* Kwa kulinganisha, ajali zinazotupata tukibarizi au tunapostarehe huwa sanasana ni majeraha ya michezo.
 
=== Kwa vyombo vya usafiri ===
==Tunatakiwa tuendeshe [[vyombo vya usafiriusafir]]i kwa uangalifu ili kupunguza ajali.
* [[Ajali ya melibaiskeli]]
* [[Ajali ya baisikelimagari]]
* [[Ajali laya Relimeli]]
* [[Ajali za Reli kabla ya 1950reli]]
 
 
=== Kwa gari ===
 
* [[Ajali ya baisikeli]]
* [[Ajali ya magari au mashindano ya magari]]
* [[Ajali ya meli]]
* [[Ajali la Reli]]
== Sababu za kawaida ==
[[Picha:Accidents.svg|thumb|300px|Matukio ya ajali, yakibainishwa kwa shughuli.]]
Kwa majeraha ya kimwili yanayopeleka watu kulazwa [[hospitali|hospitalini]], nyingi huwa ni ajali za [[barabara|barabarani]] na kuanguka.
 
Kwa majeraha ya kimwili yanayopeleka watu kulazwa hospitalini, nyingi huwa ni ajali za barabara na kuanguka.
== Tazama pia ==
* [[MajerahaJeraha]]
* [[Uwezekano wa ajali]]
* [[Usalama angani]]
** [[Ajali na matukio katika anga]]
** [[Orodha ya ajali za ndege]]
* [[Baiskeli]]
* [[Vijia : Mazingatio ya Usalama na udhibiti]]
** [[Ajali zaya Reli 1950-1999Baiskeli]]
* Baisikeli
** [[AjaliUsalama yawa BaisikeliBaiskeli]]
** [[Usalama wa Baisikeli]]
* Gari
** [[Ajali ya gari]]
** [[Usalama wa gari]]
* Reli:
* [[Usalama wa vilipuko]]
** Orodha ya ajali[[Ajali za reli: Reli]]
** [[Orodha ya vifo vilivyosababishwa na ajali za reli]]
 
 
* [[Ajali za Reli kabla ya 1950]]
* [[Ajali za Reli 1950-1999]]
* [[Ajali za Reli 2000-hadi leo]]
* [[Orodha ya vifo vilivyosababishwa na ajali za reli]]
 
* [[Orodha ya ajali za kinyuklia]]
* [[Usimamizi wa hatari]]
Line 61 ⟶ 55:
** [[Ajali za meli inayotanga]]
* [[Usalama]]
* [[Uhandisi wa Usalamausalama]]
** [[Kosa-usalama]]
** [[Kosa-thibitisho]]
** [[Uthibitisho hakuna kosa]]
* [[Jibini la Uswisi]]
* [[AjaliUsalama la Relikazini]]
* [[Usalama mahali pa kazi]]
** [[Orodha ya usalama kazini]]
** [[Nguo za kujikinga]]
** [[Taaluma ya afya na usalama kazini]]
** [[Ukubwa wa ajali]]
* [[Uchambuzi wa Ajaliajali]]
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons cat|Accidents|{{PAGENAME}}}}