Mzumbe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
'''Mzumbe''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Wilaya ya Mvomero]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 19,056 waishio humo.
<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf </ref>
==Mzumbe pia inavyo vyuo viwili ambavyo ni Chuo cha Malezi kinachomilikiwa na kanisa katoliki na chuo kikuu (Mzumbe University).Pia Mzumbe ina watu wa makabila mbalimbali lakini hasa ni asili ya kabila la kiluguru.
 
Mzumbe ina [[chuo kikuu]] ([[Mzumbe University]]).
 
Mzumbe ina watu wa ma[[kabila]] mbalimbali, lakini hasa ni asili ya kabila la [[Waluguru]].
 
{{Kata za Wilaya ya Mvomero}}