Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{karibu}}'
 
→‎AFYA: mjadala mpya
Mstari 1:
{{karibu}}
 
== AFYA ==
 
Afya ni mojawapo ya mambo muhimu kwa binadamu tenaafya njema, inapaswa binadamu awe na afya njema
ili aishi vizuri. Afya njema inahitaji chakula bora na mazoezi pia mazingira bora ya kulala, vitu
hivyo binadamu yeyote anapopata huweza kuishi na afya njema na kuepukana na afya mbovu ambayo ni
mwanzo wa magonjwa kama kipindupindu na mengineyo mengi ya mlipuko.
 
Nchi nyingi za kimaskini za kiafrika watu wake wamekuwa na afya mbovu ukilinganisha na watu wa
ulaya hii haitokani na umasikini tu bali pi na mwenendo mbovu wa viongozi juu ya swala la afya na
ushirikiano wa wananchi pia, Serikali za kiafrika zimesindwa kujenga hospitali za kisasa ilizitoe
huduma bora kwa wananchi, Hospitali za kisasa zitasaidia upatikanaji wa afya bora kwa watu wote
katika jamii husika.
 
Afya bora itasaidia ukuaji wa taifa husika, Taifa lenye watu wenye afya litakuwa na kusonga zaidi
kimaendeleo kwani watu watafanya kazi zaidi na kwakuwa wana afya njem, Hivyo ni vyema taifa liwe
na sera nzuri za afya kwa wananchi wake ili kusaidia upatikanaji wa afya bora
 
Mungu tunaomba utusaidie nchi zetu za kiafrika