Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

32 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha kibindadamu na lishe ya wanyama lakini pia kwa shabaha ya kupata malighafi mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza nguo za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
 
Serikali zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]]. Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe kipaumbele sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]]. Pia serikali itoe elimu juu ya kilimo bora na hatimaye nchi zitakuwa zimejikomboa kiuchumi.
 
== Historia ==
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zao. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[China]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]]. Wataalamu hawakubaliani kama kilimo cha [[Afrika]] kina asili yake huko Mashariki ya Kati au kama ilianzishwa barani peke yake.
 
Serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania inatakiwa iwape kipaombele secta ya kilimo ili hali kuepukana na majanga ya njaa kama tunavyo jua moja wapo ya mahitaji ya mwanadamu ni chakula na pia serikali itoe elimo juu ya kilimo bora na hatimaye nchi itakuwa imejikomboa kiuchumi.
 
{{mbegu-uchumi}}
<!-- interwiki -->