Ufugaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 63 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q80962 (translate me)
No edit summary
Mstari 5:
 
Sayansi ya ufugaji hufundishwa katika [[vyuo vikuu]] vingi na [[vyuo]] duniani kote. Wanafunzi wa [[sayansi ya wanyama]] wanaweza kujiingiza katika mahafali zifuatazo [[dawa za mifugo]] au kwenda kujiingiza kwenye daraja za bwana au udaktari mablimbali kama vile [[lishe, jeni zinavyo kuzaliana]] na [[mnyama|wanyama,]] au [[uzazi.]] Wahitimu wa programu hizi wanaweza kupatikana wakifanya kazi katika [[viwanda,]] kama vya [[dawa]] za mifugo na binadamu, viwanda vya lishe ya wanyama na mifugo, kilimo, au katika masomo.
 
 
Kihistoria, baadhi ya fani ndogo ndani ya uwanja wa ufugaji hupewa jina mahsusi kwa ajili ya wanyama katika huduma zao.
==('ufugaji')==
'ufugaji' ni mojawapo ya shughuli mbalimbali za binadamu ambazo huweza kumuingizia kipato ambacho huchangia katika uchumi wa nchi,pia uchumi huo huchangia katika maendeleo ya nchi fulani.
 
== Aina mbalimbali za ufugaji ==