Wilaya ya Kigamboni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
 
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]]. Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
 
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazo hifadhi mafuta katika yadi hizo ni [[CAMEL OIL]],[[OIL COM]],[[BIG BON]], na nyinginezo.
 
 
Kiasili sehemu hii ilikuwa [[kijiji]] cha [[wavuvi]] lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga [[nyumba]] na [[hoteli]] za kitalii zimeenea kwenye [[ufuko]] wa Bahari Hindi.
 
'''Maandishi ya kooze'''
 
 
==Marejeo==