73,057
edits
'''{{BASEPAGENAME}}''' ni jina la [[kata]] ya [[Wilaya]] ya [[Temeke]] katika [[Mkoa wa Dar es Salaam]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa [[sensa]] iliyofanyika mwaka wa [[2012]], kata ina wakazi wapatao 30,496 waishio humo.<ref>http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Wilaya ya Temeke - Mkoa wa Dar es Salaam</ref>
Kigamboni ina umbo la [[rasi]] kati ya [[Bahari Hindi]] na [[maji]] ya [[bandari]]. Imetengwa na [[jiji]] la [[Dar es Salaam]] kwa maji ya [[Kurasini Creek]].
Mawasiliano yapo kwa njia ya [[feri]] kati ya Kigamboni na [[Kivukoni]] upande wa jiji. Kuna pia [[barabara]] inayozunguka bandari lakini njia hii ni ndefu mno ni [[kilomita]] zaidi ya [[hamsini]] hadi [[kitovu]] cha jiji kwa njia ya [[nchi kavu]]. Kuna mipango ya kujenga [[daraja]].
Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni zinazo hifadhi mafuta katika yadi hizo ni [[CAMEL OIL]],[[OIL COM]],[[BIG BON]], na nyinginezo.▼
▲Pia [[Kigamboni]] katika kata ya [[Vijibweni]] ndiyo sehemu ambapo kuna [[yadi]] nyingi za [[mafuta]] k.mf. kampuni
Kiasili sehemu hii ilikuwa [[kijiji]] cha [[wavuvi]] lakini katika miaka ya nyuma watu wa jijini wamejenga [[nyumba]] na [[hoteli]] za kitalii zimeenea kwenye [[ufuko]] wa Bahari Hindi.
==Marejeo==
|