Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AF-kindergarten.jpg|thumb|Darasa la [[chekechea]] nchini [[Afghanistan]].]]
[[Picha:Inukshuk Monterrey 1.jpg|thumb|Darasa la shule ya msingi katika [[Meksiko]].]]
[[Picha:5th Floor Lecture Hall.jpg|thumb|right|Darasa la chuoni katika [[New York City]],wanafunzi wakiwa maachuo kikuu cha mt. Petersburg State Polytechnical [[Marekani]].]]
'''Elimu''' kwa [[maana]] pana ni [[tendo]] au uzoefu wenye [[athari]] ya kujenga [[akili]], [[tabia]] ama [[uwezo]] wa kimaumbile wa mtu binafsi. Katika [[dhana]] ya ki[[ufundi]], elimu ni [[njia]] ambayo hutumiwa ma[[kusudi]] na jamii kupitisha [[maarifa]], [[ujuzi]] na [[maadili]] kutoka kwa [[kizazi]] kimoja hadi kingine.