Elimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
 
Kuna [[elimu maalumu]] kwa wale wanaohitaji ujuzi wa kitaaluma, kama vile wale wanaohitaji kuwa [[rubani|marubani]]. Juu ya hayo, kuna nafasi nyingi za elimu katika viwango vingine visivyo rasmi kama vile [[Makumbusho|majumba ya ukumbusho]], [[maktaba]] pamoja na [[mtandao]] na [[tajriba]] za [[maisha]].
[[File:Distributed Intelligent Systems Department laboratory.jpg|thumb|StudentsWanachuo inkatika a laboratorymaabara, [[Saint Petersburg State Polytechnical University]], [[Urusi]]]]
Haki ya kusoma imeweza kuelezwa kuwa [[haki ya msingi ya binadamu]] katika [[kifungu]] cha pili cha [[itifaki]] ya kwanza ya maagano ya [[haki za binadamu]] barani [[Ulaya]] kuanzia mwaka wa [[1952]] ambapo wanachama wote wanashurutishwa kuhakikisha elimu kwa wote. Katika kiwango cha kimataifa, Mapatano ya [[Umoja wa Mataifa]] ya haki za [[Uchumi|kiuchumi]], za [[Jamii|kijamii]] na za [[Utamaduni|kiutamaduni]] katika mwaka wa [[1966]] yanahakikisha haki hii katika kifungu cha 13.