Tarakilishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
utangulizi mfupi
No edit summary
Mstari 3:
== Hatua Za Kuendeleza Kompyuta ==
=== Hatua kabla ya mwanzo wa kompyuta (1642) ===
[[File:Os d'Ishango IRSNB.JPG|thumb|100px|The [[mfupa wa ishango ]]]]
 
Msomi mmoja kutoka Ufaransa aliyekuwa anaitwa [[Pascal]], alianzisha chombo cha kufanyia hesabu, ambacho alikitengeneza kwa ajili ya kumsaidia baba yake katika kazi za hesabu, lakini hakikuwa na sifa bora kama ilivyotakiwa.
Kisha baada ya hapo kiliendelezwa na msomi mwengine kutoka Ujerumani, ambaye alijulikana kwa jina la Lebnitz na kuzidishwa ubora zaidi, kikawa kinafanya kazi zote za hesabu, kama vile kujumlisha, kutoa, kugawanya na kuzidisha, badala ya kufanya kazi za kuzidisha na kugawanya tu.