Bartolomeo Las Casas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|250px|Picha yake. '''Bartolomeo Las Casas''' (kwa Kihispania '''Bartolomé de las Casas''' (Sevilia, 1484 hivi<r...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Bartolomedelascasas.jpg|thumb|250px|[[Picha]] yake akiwa na [[mavazi]] ya Kidominiko.]]
'''Bartolomeo Las Casas, [[O.P.]]''', (kwa [[Kihispania]] '''Bartolomé de las Casas''' ([[Sevilia]], [[1484]] hivi<ref>{{harvcoltxt|Parish|Weidman|1976|p=}}</ref><!--please do not change birth year to 1474; while this had been traditionally held it's now accepted to be an error; read the article and the accompanying citation--> – [[Madrid]] [[18 Julai]] [[1566]]) alikuwa [[mwanahistoria]], [[mwanaharakati]], [[mtawa]] wa [[Shirika la Wahubiri]], [[askofu]] wa [[Kanisa Katoliki]] na mtu wa kwanza kutambulika rasmi kama "[[Mtetezi wa Waindio]]".
 
Maandishi yake mengi, yakiwemo ''[[Historia fupi ya uangamizaji wa Uindio]]'' na ''Historia ya Uindio'', yanasimulia miongo ya kwanza ya [[ukoloni]] wa [[Hispania]] barani [[Amerika]] na kukazia hasa maovu ya wakoloni dhidi ya wenyeji.<ref>{{cite book| last=Zinn| first=Howard| year=1997| pp=483| title=[[The Zinn Reader]]| publisher=[[Seven Stories Press]]| isbn=978-1-583229-46-0| ref=harv}}</ref>
Mstari 23:
Miaka yake ya mwisho aliishi [[ikulu]], akiathiri sera za Hispania kuhusu Waindio. Mwaka [[1550]] alishiriki [[mdahalo wa Valladolid]] dhidi ya [[Juan Ginés de Sepúlveda]] aliyedai Waindio si [[binadamu]] kamili, hivyo wanahitaji kutawaliwa na Wahispania wapate [[ustaarabu]]. Las Casas alipinga kabisa na kusema kuwatumikisha ni kinyume cha haki.
 
Bartolomeo Las Casas alitumia miaka 50 kupinga utumwa na [[dhuluma]] za ukoloni, akihimiza serikali kuwa na sera adilifu zaidi. Ingawa hakufaulu sana, walau alileta [[nafuu]] fulani na uzingatifu wa [[maadili]]. Kwa sababu hiyo Las Casas anahersabiwa mara nyingi kati ya watetezi wa kwanza wa [[haki za binadamu]].<ref name="Beuchot 1994" />
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
== Marejeo ==