Vita : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Misemo juu ya vita: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sh}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vita.JPG|thumb|300px|Vita: Mfalme [[Ramses II]] mnamo 1274 KK, Mfalme [[Gustav Adolf]] mnamo 1623, Faru ya Marekani M1 2005]]
'''Vita''' ni mapambano baina nchi, mataifa au angalu vikundi vikubwa vya watu yanayoendeshwa kwa nguvu ya [[silaha]].
[[File:Dapperheidgrotepier.jpg|thumb|mchoro wa[[Pier Gerlofs Donia]] na [[Wijerd Jelckama]] wakipigana kwa ajili ya uhuru wa watu]]
 
Katika vita kuna pande mbili au zaidi. Husababisha mateso, vifo na kuharibika kwa mali ya watu pamoja na mazingira asilia.