Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

85 bytes removed ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha kibindadamu na lishe ya wanyama lakini pia kwa shabaha ya kupata malighafi mbalimbali zinazotumiwa kwa kutengeneza nguo za watu. Siku hizi kilimo kinalenga pia [[nishati ya mimea]].
 
Serikali zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]]. Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe kipaumbele sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]]. Pia serikali itoe elimu juu ya kilimo bora na hatimaye nchi zitakuwa zimejikomboa kiuchumi.
 
Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe [[kipaumbele]] sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]]. Pia serikali itoe elimu juu ya kilimo bora kama kitega uchumi ambacho huwasaidia watu kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha maisha yao binafsi. Pia mazao hayo husaidia kuongeza uchumi wa nchi ili hatimaye zitakuwa zimejikomboa kiuchumi.
 
== Historia ==
 
Inaaminiwa ya kwamba kilimo kilianza katika sehemu tatu za dunia ambako watu walitambua mimea yenye lishe kubwa na kupanda mbegu zao. Maeneo haya ambako kilimo kilianza ni [[China]], [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Mashariki ya Kati]]. Wataalamu hawakubaliani kama kilimo cha [[Afrika]] kina asili yake huko Mashariki ya Kati au kama ilianzishwa barani peke yake.
 
 
{{mbegu-uchumi}}
<!-- interwiki -->
 
[[Jamii:Kilimo|!]]
 
==kilimo==
Tanzania kilimo ndio kitega uchumi pia kilimo ni kiinua mgongo cha watanzania ambacho huwasaidia kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha maisha yao binafsi pia mazao hayo husaidia kuongeza uchumi wa nchi.