Tofauti kati ya marekesbisho "Afya"

318 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[File:NewZealand-Stamp-1933-Health.jpg|thumb|422x422px|[[Stempu]] ya [[posta]] ya [[New Zealand]], mnamo mwaka [[1933]].]]
[[File:Borch Lady washing hands.jpg|thumb|270px|Mwanamke akinawa mikono 1655 hivi.]]
'''Afya''' ni hali ya kujisikia vizuri ki[[mwili]], naki[[akili]], ki[[roho]] na ki[[utu]] pia bila kusumbuliwa na [[ugonjwa]] wowote.
 
Afya ya [[binadamu]] itakuwa njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.
Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
 
Pia tunatakiwa kuwa na afya ya kiroho yaani kuishi kadiri ya mafundisho ya [[Mwenyezi Mungu]] kama vile: kupendana, kuthaminiana na kuacha [[dhambi]]. Tena mara nyingi hizo zinadhuru afya ya mwili pia.
 
== Fafanuzi za afya ==
Sawa na suala la ugonjwa, hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.
 
* [[Shirika la Afya Duniani]] (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya [[ustawi]] kamili kimwili, kiroho na ki[[jamii]] na zaidi ya kukosa ugonjwa." <ref><nowiki>http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''</nowiki></ref>