Tofauti kati ya marekesbisho "Kilimo"

265 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
 
Serikali zinatakiwa zizidi kuongeza [[zana]] za kilimo ili watu waweze kupata kwa wingi [[mazao ya biashara]] na [[mazao ya chakula]].
==kilimo==
 
kilimo ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu ambayo humsaidia kupata mazao kwa ajili ya chakula na mazao mengine kwa ajili ya biashara ambayo inaweza kumuingizia kipato kwa ajili ya maisha yake,pia kipato hicho husaidia katika kukuza uchumi wa nchi yake .
Kwa jumla serikali zinatakiwa zitoe [[kipaumbele]] sekta ya kilimo ili kuepukana na ma[[janga]] ya [[njaa]]: mojawapo ya mahitaji ya mwanadamu ni [[chakula]]. Pia serikali itoe elimu juu ya kilimo bora kama kitega uchumi ambacho huwasaidia watu kujipatia mazao na kipato cha kwao ili kuendesha maisha yao binafsi. Pia mazao hayo husaidia kuongeza uchumi wa nchi ili hatimaye zitakuwa zimejikomboa kiuchumi.
 
603

edits