Shule : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Himo Holy Child PS 2012 Tamino.jpg|thumb|right|350px|Shule ya msingi ya Holy Child, Himo, [[Makuyuni (Monduli)]] - [[Tanzania]] <small>(picha ya Tamino Boehm)</small>]]
[[Picha:ZambianSchool2.JPG|thumb|right|350px|Shule ya Msingi mashambani nchini [[Zambia]]]]
'''Shule''' (kutoka [[Kijerumani]]: '''Schule'''; nchini [[Kenya]] na [[Zanzibar]]: '''skuli''' kutoka [[Kiingereza]] "school") ni [[taasisi]] ambako watu hufunzwa habari za [[elimu]]. Pia ni jina la [[Jengo|majengo]] yake.
 
Leo hii katika nchi nyingi watoto wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye.
 
Mambo hayo ni masomo. Kila [[somo]] lina fahamu zake tofauti katika kufundisha. Kwa mfano: [[kuandika]], [[kusoma]], na kuhesabu namba ([[hisabati]]).
 
Shule ni mahali ambapo watu hujifunza mambo mengi ambayo huwasaidia katika kuyakabili maisha hata kupata elimu juu ya jambo fulani. Elimu hiyo ndiyo itakayomsaidia kutatua jambo hilo.
==shule==
 
shule ni mahali ambapo watu hujifunza mambo mengi ambayo huwasaidia katika kuyakabili maisha hata kupata elimu juu ya jambo fulani,elimu hiyo ndio itakayomsaidia kutatua jambo hilo.Watu wengi husema kwamba elimu haina mwisho wakimaanisha kuwa elimu inaweza kutolewa kwa watu wote bila kujali watoto,vijana,watuwazima hata wazee.Pia unaweza ukasema kwamba elimu ni ufunguo wa maisha wakimaanisha kuwa elimu ndio kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kwakuwa hauwezi kutatua tatizo fulani bila kupata elimu juu ya tatizi hilo.
Watu wengi husema kwamba elimu haina mwisho, wakimaanisha kuwa elimu inaweza kutolewa kwa watu wote bila kujali kama ni [[watoto]], [[vijana]], [[watu wazima]] hata [[wazee]].
 
Pia unaweza ukasema kwamba elimu ni [[ufunguo]] wa maisha ukimaanisha kuwa elimu ndiyo kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kwa kuwa huwezi kutatua tatizo fulani bila kupata elimu juu ya tatizo hilo.
 
Watu wanaopatikana shuleni ni wa aina tatu: wanafunzi, walimu na wafanyakazi wengine wanaotunza majengo na vifaa.