Uvuvi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Uvuvi ni kati ya shughuli za kale kabisa za binadamu na katika [[uchumi]] huhesabiwa katika sekta ya msingi pamoja na [[kilimo]] na [[uchimbaji wa madini]]. Kutokana na takwimu za [[FAO]] kuna watu milioni 38 dunani wanaofanya kazi ya kuvua au kufuga samaki. Pamoja na wengine wanaosafirisha windo na kulifanyia kazi viwandani au kuiuza masokoni, madukani au kwenye hoteli kuna zaidi ya watu milioni 500 wanaopata maisha yao na sekta hii ya uvuvi. <ref>ftp://ftp.fao.org/FI/brochure/climate_change/policy_brief.pdf Fish (including shellfish) provides essential nutrition for 3 billion people and at least 50%
of animal protein and minerals to 400 million people in the poorest countries.
• Over 500 million people in developing countries depend, directly or indirectly, on fisheries and aquaculture for their livelihoods. • Aquaculture is the world’s fastest growing food production system, growing at 7% annually. • Fish products are among the most widely traded foods, with more than 37% by volume of world production traded internationally. </ref>
uvuvi ni mojawapo ya shuguli za binadamu ambayo ina shughulika na ukamataji wasamaki kutoka ndani ya maji na kuwekwa nje ya maji. pia samaki hao hufanywa kama kitoweo na muda mwingine hufanywa kama biashara ili kujipatia kipato na pia uvuvi nao husaidia kukuza uchumi wa nchi fulani.
 
Uvuvi hufanywa penye magimba ya maji kama kwenye [[bahari]], [[maziwa]], [[mito]] au [[mabwawa]]. Mara nyingi wavuwi hutumia chombo cha maji kama [[boti]] lakini wengine wanakaa ufukoni na kuvua kutoka nchi kavu.
 
Vyombo vya uvuvi ni aina za nyavu zinazoweza kushika samaki yote na kuivuta nje ya maji, ndoano au pia aina za mikuki inayolenga samaki zilizipo karibu na uso wa maji.
 
Tunapaswa kulinda [[bahari]],[[maziwa]] pamoja na [[mito]] ili mazalia ya [[samaki]] yazidi kuongezeka na pia tupige [[vita]] [[uvuvi]] haramu kuwa husababisha kuwa nyuma kwa [[sekta]] ya [[uvuvi]]
==Nashauri serikari iweke ulinzi kwenye swala la uvuvi kwani kuna wavuvi haramu wanaotumia sumu,baruti na vingine vingi ambavyo havitakiwi katika uvuvi.