Wasaksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|350px|[[Ramani ya Dola la Roma na makabila ya Ulaya mwaka 125 BK, ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazin...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Roman Empire 125.png|thumb|right|350px|[[Ramani]] ya [[Dola la Roma]] na makabila ya Ulaya mwaka [[125]] [[BK]], ikionyesha makazi ya Wasaksoni kaskazini mwa Ujerumani.]]
'''Wasaksoni''' (kwa [[Kilatini]] Saxones, kwa [[lugha]] za [[Kijerumaniki]] Seaxe, Sahson, Sassen, Sachsen, Saksen, kutoka "seax", jina la [[kisu]] maalumu walichotumia) walikuwa [[shirikisho]] la ma[[kabila]] kadhaa ya [[Wagermanik]] wakazi wa [[Ujerumani]] [[Kaskazini]] walioenea katika sehemu za jirani.
 
Baadhi yao, pamoja na jirani zao [[Waangli]], jumla watu 200,000 hivi, walivamia [[Britania]] katika [[karne ya 5]] na baada ya hapo, wakiweka msingi wa [[Uingereza]] wa leo.
Mstari 24:
{{mbegu}}
 
[[Category:Makabila ya UlayaKijerumani]]
[[Category:Historia ya Ujerumani]]
[[Category:Historia ya Uingereza]]