Tasbihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|right|Tasbihi ya Fatura ya Waosmani. '''Tasbihi''' (kutoka Kiarabu تسبيح, Tasbīḥ, ambalo linatege...'
 
No edit summary
Mstari 2:
'''Tasbihi''' (kutoka [[Kiarabu]] تسبيح, Tasbīḥ, ambalo linategemea [[kauli]] "Subhan'allah") katika [[Uislamu]] ni aina ya [[sala]] ([[dhikr]]) inayofanyika kwa kukariri maneno machache kwa [[sifa]] na [[utukufu]] wa [[Allah]].
 
Ili kutunza [[hesabu]] ya kauli hizo, vinatumika ama [[mifupa]] ya [[mkono]] wa kulia ama [[punje]] zilizounganishwa katika [[kamba]] au [[uzi]] ([[misbaha]]) inayofanana na ile ya [[dini]] nyingine, k.mf. ya [[Wakristo]] [[Waorthodoksi]] ([[kamba ya sala]]) na [[Wakatoliki]] ([[rozari]]).
 
[[ushanga|Shanga]] zilitumika kama [[pambo]] tangu kale: barani [[Afrika]] zimepatikana za miaka 10,000 [[KK]].
 
Lini na wapi zilianza kutumika kwa ajili ya sala haijulikani, lakini kuna [[sanamu]] ya [[karne ya 3 KK]] inayomuonyesha [[Uhindu|Mhindu]] akiwa na [[ushanga wa sala]].
 
==Tanbihi==
Line 20 ⟶ 24:
* [http://dharma-beads.net/rosaries-india/muslim-rosary Rosaries of India: Muslim Misbaha]
* [http://www.refiza.com Souvenir Tasbih Cantik]
 
{{mbegu-Uislamu}}
 
[[Category:Sala]]