Mji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mji''' ni mkusanyiko wa [[makazi]] ya watu, [[shule]], [[hospitali]], [[ofisi]], ma[[duka]], [[viwanda]] n.k. ulio mkubwa kuliko ule wa [[kijiji]]. Mji ukizidi kukua unakuja kuitwa pia [[jiji]].
[[File:Turkish.town.cesme.jpg|thumb| mjii bora unahitaji mpangilio mzuri wa makazi.]]
Sura maalumu ya miji inategemea mambo mengi, kuanzia [[mazingira]] asili (kama yana [[milima]], ma[[bonde]], [[mito]], [[bandari]] n.k.).