Salamu Maria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|''Kupasha Habari'', kadiri ya [[Fra Angelico.]] '''Salamu Maria''' (kwa Kilatini ''Ave Maria'') kwa asili ni sal...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Sala hiyo imeenea hata kwa [[Wakristo]] wengine, hasa [[Waanglikana]], lakini kwa namna tofauti inatumiwa pia katika [[Ukristo wa Mashariki]].
 
Hii ni kwa sababu sehemu kubwa ya sala hiyo inatokana na [[Injili]] ([[Lk]] 1:28,42) moja kwa moja.:
* Χαῖρε, κεχαριτωμένη, ὁ Κύριος μετὰ σοῦ / ''Chaire, kecharitōmenē, o Kyrios meta sou'' / ''Salamu uliyejaa neema, Bwana yu nawe'' (maneno ya Malaika Gabrieli)
* Εὐλογημένη σὺ ἐν γυναιξὶν καὶ εὐλογημένος ὁ καρπὸς τῆς κοιλίας σου / ''eulogēmenē su en gynaixin kai eulogēmenos o karpos tēs koilias sou'' / ''Umebarikiwa wewe kati ya wanawake na umebarikiwa mzao wa tumbo lako'' (maneno ya [[Elizabeti (Injili)|Elizabeti]])
 
Katikati ya [[karne ya 13]] sala ilikuwa inaundwa na maneno hayo tu pamoja na kuingiza [[jina]] la [[Maria]], inavyoonekana katika [[ufafanuzi]] wa [[Thoma wa Akwino]].<ref>[http://www.ewtn.com/library/MARY/STTOMHMY.htm "Saint Thomas Aquinas on the Hail Mary", ''Catholic Dossier'', May-June 1996, Ignatius Press, Snohomish, Washington ]</ref>
 
Mwishoni mwa [[karne ya 15]] yaliongozwa maneno ya kumuomba Maria sala zake.<ref>British Library - Rare Books Department, shelfmark: IA 27542</ref>
 
Hatimaye sala kwa Kilatini imekuwa hivi:
:Áve María, grátia pléna,
:Dóminus técum.
:Benedícta tu in muliéribus,
:et benedíctus frúctus véntris túi, Iésus.<ref>With [[Pope John XXIII]]'s [http://www.musicasacra.com/pdf/missale62.pdf edition] of the [[Roman Missal]], the use of the letter J in printing Latin was dropped even in liturgical books, which had preserved that usage long after it ceased in the printing of ordinary Latin texts, including documents of the Holy See.</ref>
:Sáncta María, Máter Déi,
:óra pro nóbis peccatóribus,
:nunc et in hóra mórtis nóstrae. Ámen.
 
Tafsiri ya [[Kiswahili]] ni:
:Salamu María, umejaa neema,
:Bwana yu nawe.
:Umebarikiwa kuliko wanawake wote,
:na Iesu, mzao wa tumbo lako, amebarikiwa.
 
:Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu,
:utuombee sisi wakosefu,
:sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.
 
==Tanbihi==