Sayansi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 44:
 
==Historia==
[[File:Pangea animation 03.gif|thumb|300px|pichaPicha ya dunia ikionyesha kutokea kwa mabara kutoka kugawanyika kwqa kwa [[Pangea]] mpaka hivi leo.]]
=== Sura ya Kiutamaduni ===
Sayansi iliaanza kama udadisi wa mtu mmoja mmoja; lakini kadri maarifa yanavyopanuka, inakuwa vigumu kwa mtu mmoja kufanya mchango wakujitenga. hivyo jumuiya zimebeba kusudi ambalo hapo mwanzo ilionekana kama ni shauku la mtu mmoja mmoja kama awali.
Line 51 ⟶ 52:
Sayansi na Jamii huenda pamoja katika kuleta mabadiliko, kwa kuwa mabadiliko huletwa na watu wenyewe.
 
=== Sayansi Nana Siasa Zaza dunia ===
Katika dunia hii ya leo, maendeleo ya watu hujidhihirisha sana kutokana na jinsi jamii husika ilivyopiga teke katika uwanja huu.
[[File:Pangea animation 03.gif|thumb|300px|picha ya dunia ikionyesha kutokea kwa mabara kutoka kugawanyika kwqa [[Pangea]] mpaka hivi leo.]]
 
Ingawaje haibanishwi wazi miongoni mwa sura ya mambo ya kidunia, sayansi kwa kweli ni nguvu inayoweza kubadili maisha ya watu kwa wema; lakini katika kilele chake cha mafanikio, vyombo vyenye nguvu kimamlaka na fedha hushikilia baadhi ya matunda yake katika hali ya kibiashara na kiutawala zaidi.
 
=== Sayansi Nana Maendeleo ===
Wapo watu pia ambao hutumia sayansi kujaribu kuboresha maisha ya watu wote kwa ujumla. Hivyo sayansi haibakii tu kuwa mikononi mwa wenye kushika dau kimifumo, bali changamoto ya wote wenye kutaka kuleta maendeleo ya ujumla.
 
Mstari 63:
 
{{Lango|Sayansi}}
{{Sayansi}}
 
{{Mbegu-sayansi}}
 
[[Jamii:Sayansi]]
 
{{Sayansi}}