Umeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 18:
== Historia ==
Maumbo ya umeme yalijulikana tangu kale hasa [[radi]]. [[Wamisri wa Kale]] walijua [[mshtuko]] wa umeme kutoka aina za [[samaki]].
[[File:Thales.jpg|thumb|upright|alt=A bust of a bearded man with dishevelled hair|[[Thales of Miletus|Thales]], themmoja earliestwa knownwatatafiti researcherwa intokwanza electricitywa umeme wanaofahamika]]
[[Wagiriki wa kale]] walitambua ya kwamba [[kaharabu]] baada ya kusuguliwa inaweza kuvuta vipande vidogo vya kitambaa. Inaingia katika hali tunayoita leo hii [[umeme tuli]]. Wagiriki wakaita kaharabu kwa jina "elektron" na neno hili limekuwa jina la "electr -icity" (umeme) katika [[lugha]] za [[Ulaya]].