Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 28:
ambako swala la afya bora limekuwa ni tatizo, sio tu afya bora bali pia mazingira bora na maendeleo
lakini si tu hospitali bora lakini pia ziwe na madawa ya kutosha yatakayokidhi mahitaji ya wananchi wote
 
Mahitaji ya hospitali maeneo ya vijijini ni makubwa ukilinganisha na mjini hii ni kutokana serikali
nyingi kuboresha maeneo ya mjini na sio vijijini ambako ndipo penye shida kubwa, inabibi serikali
hizi zigeuze macho na kuangalia upande huu wa vijijini
 
Mungu tunaomba utusaidie nchi zetu za kiafrika